top of page

Bahari Inachafuka Ni hadithi fupi fupi ya watoto iliyoandaliwa kwa ajili ya watoto kuanzia Gredi ya 1 hadi ya 3 ilikuwasaidia kukuza uwezowa kusoma na kuimarisha ukuzaji wa ujuzi mbalimbali katika kuimilisi lugha ya kiswahili. wasaidie wanafunzi wako katika Kuimarisha lugha yao kwa kutumia kitabu hiki na watapendelea. Wanaeza kuisoma kupitia njia ya kidijitali kwa kuwa ndiyo malengo rasmi ya Mtaala wa CBC. 

Imetayarishwa na Edwin Mtange

Bahari Inachafuka

Ksh0.00Price
    To get/Download Grade 5 schemes of work term 1 2021 click here
    bottom of page